Recent content by Modesign Finishing Co

  1. Modesign Finishing Co

    Wauzaji na mafundi wa Marble /granites.

    sawa tutaweka mda si mrefu
  2. Modesign Finishing Co

    Wauzaji na mafundi wa Marble /granites.

    Ni mafundi mahili katika sekta ya kufanya finishing za nyumba ikiwa ni pamoja na Kuweka Tiles, Marbles/Granites,tangastone,kupaka rangi, kuweka gypsum nk, njoo tukupe ushauri pamoja na huduma. Tunapatikana Kinyerezi mwisho.. Karibu sana Modesign Finishing Company...
  3. Modesign Finishing Co

    Wauzaji na mafundi wa marbles/granites,tiles,tangastone n.k

    Marble yako ina urefu na upana gani? Piga 0657441192/0673595038 kwa mawasiliano zaidi.
  4. Modesign Finishing Co

    Wauzaji na mafundi wa marbles/granites,tiles,tangastone n.k

    Marble Kama imefubaa tunapiga msasa(polishing) inang'aa na kurudi katika hali yake. Karibu sana
  5. Modesign Finishing Co

    Wauzaji na mafundi wa marbles/granites,tiles,tangastone n.k

    Kutana na wauzaji pamoja na mafundi mahili wa kuweka tiles, marbles/granites.Ofisi zetu zina patikana Kinyerezi.Njoo upate ushauri pamoja na huduma kutoka Modesign Finishing Company. Mawasiliano: 0673595038/0657441192. KARIBUNI SANA.
  6. Modesign Finishing Co

    Hi JFM member

    Karibu sana JF
  7. Modesign Finishing Co

    Mafundi wa finishing ya nyumba

    Hapo kuna baadhi ni zetu na nyingine ni sample tu ya kuonyesha tunachofanya.
  8. Modesign Finishing Co

    Habari zenu wa jamii forum

    Ndio na mm ni miongoni,nashukuru kwa ushauri wako nitautendea kazi.
  9. Modesign Finishing Co

    Habari zenu wa jamii forum

    Ndio na mm ni miongoni,nashukuru kwa ushauri wako nitautendea kazi.
  10. Modesign Finishing Co

    Habari zenu wa jamii forum

    Naomba nieleweshe vzr, sijakusoma hapo
  11. Modesign Finishing Co

    Habari zenu wa jamii forum

    Kampuni inajihusisha na finishing za nyumba kama kuweka tiles,marbles/granites,tangastone,kupaka rangi,mabomba, tunajenga makaburi. Pia tunauza Marbles na granites.Karibu sana,tunapatikana Kinyerezi mwisho karibu na kanisa katoriki. Mawasiliano zaidi:-0673595038/0657441192
Back
Top Bottom