Recent content by Moda Pr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

    Wewe ni shujaa. Bado hata katika kizazi ambacho maadili yamechafuka kiasi hicho bado wapo ambao ni waaminifu na wanaomcha Mungu. Usiogope kwa maneno ambayo huenda baadhi wameyatoa kwa kejeli na mifano ya kukudhalilisha. Mara zote waaminifu wanaosimama against the majority wanaonekana ni watu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nunua magari kwa Kampuni ya BE FORWARD.

    Jamani naomba kuuliza kwali: hivi upatikanaji wa spare za Magari ya Honda hapa Tanzania upo namna gani? Nimeona kwa website ya BF kuna Honda za bei nzuri tu na nikiangalia naona kuna gari imenipendeza. Je, ni rahisi kupata spare zake hapa Bongo kirahisi au la?
Back
Top Bottom