Recent content by Mobalikitoko

  1. M

    Zanzibar nimeangalia sherehe zenu za Mei Mosi nimesikitika sana

    Toa ushahidi wa hayo unayodai umeyasoma ktk kitabu kipi au umeyapata kwa mwana historia yupi? ili kukazia swali lako.
  2. M

    Zanzibar nimeangalia sherehe zenu za Mei Mosi nimesikitika sana

    Ndio wanao kutawala sasa wanatawala Bara na visiwani kuanzia Maraisi mpaka Mawaziri sasa sijui wewe na wao ni yupi hana akili utajijibu mwenyewe......[emoji419]
  3. M

    Viongozi wa Tume ya Marekebisho ya BAKWATA wajiuzulu. Mufti Abubakar Zubeir adaiwa kuiendesha kama genge

    Wewe huana elimu ktk masula ya kiislam na wala hujui Uongozi au utawala ktk Uislamu unaundwa vipi hebu nikuulize wewe katika ukristo uliwahi kusikia hata siku moja aliwahi kupatikana PAPA MWANAMKE? AU ASKOFU MWANAMKE ? hao ndio watawala katika Ukristo. Elewa hivyohivyo katika Uislam ili uwe...
  4. M

    Wanaomtetea Musiba leo walikuwa wapi wakati anatukana watu matusi ya nguoni?

    Nafikiri nyinyi mkombali na taarifa au mlikua hamjui kasheshe la Magu na jamaa waliomuweka madarakani au hamkusikia wakijilaumu katika sauti ya simu iliovuja kuwa wanajuta na wamekosea kumuweka Magu madarakani sasa huyo Magu wenu mnae msema atapitia njia gani kuingia madarakani? au mnaota ndoto...
  5. M

    Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    hapo ndipo mnapokua wagumu kuelewa aliokwambia mtoto wa nje ya ndoa analana ni nani au unajitungia mtoto wa nje ya ndoa anaheshima kama wanavyo heshimiwa binaadam wengine laana ni kwa wazazi wake walio vunja amri ya Allah fungua masikio uelewe vizuri haya nikuambiayo. 1- Mwana mume amewekewa...
  6. M

    Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Uislam haumbagui mtoto alie zaliwa nje ya ndoa nyiyi ndio meelewa vibaya huyu mtoto kwanza hana dhambi yeyote kwa kuzaliwa nje ya ndoa pili huyo mtoto mamalaka juu yake yote yako umamani/ujombani kwake ndio wajibikaji wa kila shida ya huyo kijana kisheria. wewe ulompa mimba bint sio baba wewe ni...
  7. M

    Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Chanzo chake mauudhui yake vyote haviingi akilini nawala haviwezikua maneno matakatifu kutoka kwa M/Mungu ni uzushi uliozuliwa na wazushi wakitumia kalamu zao na kupakwa rangi ya utakatifu.
  8. M

    Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Ndio maana nikwambia matango pori hivi wewe Vitalisi kwa akili yako kweli Mtume alietumwa na Mungu wa mbigu na Ardhi kuja kuwafudisha watu na kuwaelekeza njia sahihi ya kumjua muumba wao. anaweza akafanyiwa upuuzi huo Halafu Mungu akaubariki akimwachia tu sasa utakua wapi ufalme wa Mungu? mbona...
  9. M

    Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Hayo matango pori ya Nabii Luttu kazaa na mabinti zake mnayotoa wapi nyie mbona mnawachafua Mitume wa Allah namana hiyo? Halafu wewe Mungu humuelewi nambie na unipe ushahidi wa kutosha ni Taifa gani ulimwenguni linaruhusu dada na kaka wa Damu kuona na ndoa ikabarikiwa kimila au kipagani mambo...
  10. M

    Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Maneo kama hayo yaliwaangamiza wengi nawe si wa kwanza kusema akina Farau wa Misry walsemma maneno kama hayo
  11. M

    Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Ndio kwa kuchupa mipaka aliowekewa na muumba wake,na kama atarejea ktka mipaka yake hiyo Asili itatoweka. # Zingatia hilo neno asili hapo sio asili ya maumbile kwa kuwa zinaa si maumbile zinaa ni tabia
  12. M

    Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Hujui unacho ongea mtizamo wako ni finyu hakuna anaye mkandamiza mwanamke mwanamke katika Uislam anahadhi kubwa kuliko katika jamii nyingine ile ulimwenguni. 1. mwanamke ktk uislam anahaki ya kulindwa kuhifadhiwa akiwa nyumbani kwao na hata akiolewa. 2. mtoto wa kike katika uislam harusiwi...
  13. M

    Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Hiyo jamii ilikua ni ya nani? ilio kuwepo kabla ya uzao wa Adam.
Back
Top Bottom