Recent content by Mnyonge Mwelevu

  1. M

    Faini za makosa barabarani

    Habari wanaJF, Ishu hii hapa ni very serious,inaumiza sana wamiliki wa magari hasa ya biashara particularly daladala,watu wanafilisiwa na madereva wazembe ambao serikali haiwagusi kwa kuwaadabisha badala yake ina msulubu mmiliki ambaye hakutenda hilo kosa logically,je kosa la mmiliki ni kuwa na...
  2. M

    FAINI za makosa ya barabarani

    Yaani mtendaji wa kosa mwingine mlipaji mwingine,mfano kukamata gari wakati mkosaji ni dereva labda hakuvaa mkanda,au alilewa,au overspeeding na aina hiyo ya makosa,swali ni kwa nini mmiliki anakatiwa gari na kulazimishwa kulipa wakati dereva ndiye alitenda makosa hayo?
  3. M

    FAINI za makosa ya barabarani

    Yaani mtendaji wa kosa mwingine mlipaji mwingine,mfano kukamata gari wakati mkosaji ni dereva labda hakuvaa mkanda,au alilewa,au overspeeding na aina hiyo ya makosa,swali ni kwa nini mmiliki anakamatiwa gari na kulazimishwa kulipa wakati dereva ndiye alitenda makosa hayo?
  4. M

    FAINI za makosa ya barabarani

    Yaani mimi nimelipa mpaka nimefilisika wakati madereva wangu waliofanya hayo makosa hata kuguswa hawajaguswa na sasa hivi wamenikimbia wanaendelea kuvunja sheria kwa kutumia gari zingine mahali pengine,this is tz
  5. M

    FAINI za makosa ya barabarani

    Wanajamii naomba kuliuliza jeshi la polisi upande wa trafiki,ni sheria gani inatumika kumhukumu mmiliki wa gari kulipishwa faini zote za makosa barabarani wakati makosa mengine yamefanywa na dereva
Back
Top Bottom