sasa mbona unajisema mwenyewe wewee. usikielewa ni maana ya mafanikio mafanikio ni hatua mojawapo ambayo mwanzo ukua nayo
lakiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. alichokizungumzia kaka sio mafaniko yale yakula kulala mafanikio ya overall yani utajiri mkubwa embu soma vizuri hiyo contents afu uje...
wewee unazungumzia mada nyingine tofauti yani unaleta ubishi wa kitu ambachooo hakiusiani embu soma tena dada ndo ukomenti mbona sizani kama ulisoma vizuri na ulielewa wewe una mda yako kichwani ndo umeileta hapa mi czani kama umesoma vizuri na umeelewa alichokizungumzia kaka hapo embu acha kua...
sasa mbona unajisema mwenyewe wewee. usikielewa ni maana ya mafanikio mafanikio ni hatua mojawapo ambayo mwanzo ukua nayo
lakiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. alichokizungumzia kaka sio mafaniko yale yakula kulala mafanikio ya overall yani utajiri mkubwa embu soma vizuri hiyo contents afu uje...
Elimu ina sehemu katika mafanikio unaeza ukasoma na ukafika chuo na ukawa mtu ambaye hana muelekeo katika jamaii maana yake ile elimu yake aliyosomea yani taaluma yake haijaweza msaidia na kama umeona mtu kasoma na kafanikiwa manaake kajua jinsi ya kuitumia kilke alichosomea so
mafanikio...
Usichokielewa wewee ni mafanikio ya kujikimu kimaisha na mafanikio anayoyazungumzia hapo kaka ni mfanikio mawili tofatauti wewe kupata hela ya kila siku kula na kupata hela ya kukufanya uishi sizani kama hivi ni vitu vinafanana
Nyie ndo wale mkisoma mtaani mnatusumbua kwasababu mnaamini tyari...
Weee dada angu ushawahi ona wapi mtu mwenye mafanikio makubwa duniani akajivunia shule yake au unataka kupisha tuuuh angalia vizuri bana elimu na mafanikio ni vitu viwli tofauti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.