Nimeenda na nimeandika MREJESHO hapo juu.. nashukuru mkuu kwa mawazo yako muhim
Bank wameelewa. Kwanza wao ndo wamekubali makosa kwa maana niliwataarifu ila hawakuzingatia.. Asante kwa mawazo mazur hata hivyo
MREJESHO: Nimeenda bank ya kwanza..wameniomba radhi kwa kuzuia mshahara wangu. Wamekubali kuwa mfumo ndio ulileta tatizo kitaifa. Wamenionba twende kwa HR ili tukubaliane makato nje ya mfumo. Pia wamekubali kuniekea kiasi cha mkopo walichonipunja
Nawashukuru wanajamii kwa msaada wenu...
Hata mm nilishangaa Ivo lakini nilipowapigia walisema wao ndio wameniekea...nikauliza mbona imekua kidogo kuliko nilivoomba? Wakasema watanirudia tuongee..hawajawahi kufanya hivyo na effect ndo Ii sasa..mie siogopi kukatwa Io hela au hata wakisema watachukua mshahara wote Hadi...
Sijakataa kulipa ila hofu yangu ni kulipa kwa hii njia ya kunizuia nisipate mshahara hata kidogo...ndo sababu nahitaj mawazo na ujuzi wa haya mambo. Je inaezekana nikafanya mapatano nao ili na mm nipate salary ata kiasi au ndo watatumia Sheria kama ipo kuniforce ni forsake mshahara wote Hadi...
Nimekuelewa mkuu.. yani namaanisha hivi upande wa mwajiri hakuna shida.. hakuna makato yoyote. Hati ya MSHAHARA Haina shida. Shida ni bank ambayo MSHAHARA unapitia..wao wamezuia nisifanye withdraw yoyote kwa miez miwili now.. shida hapa ni kwamba mshahara wangu unapitia bank hiyo..
Nilikosea. Nilikaa wiki 2 sijatumia hela huku nawatafuta..sema sikwenda tawini sababu ya ziara za kikazi..walikuwa wananivizia sijui..wao wameanza kucheza na mhahara tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.