Ndugu Wananchi:
Hatukuanzisha mfumo wa vyama vingi vya siasa ili kujenga chuki miongoni mwa Watanzania. Hivyo, tuwaogope sana wanaohubiri chuki kwa kisingizio cha ushindani wa kisiasa.Ushindani tunaoutaka sisi ni wa hoja, ni wa fikra, ni wa mikakati na mipango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.