Habari wadau..nina mpago wa kufungua car wash and detailing shop...nina fanya research juu ya upatikanaji na bei equipments na products kwa Dar es Salaam..Zaidi niko interested kujua wapi naweza pata Pressure washer za Compressor(if at all kuna kitu cha namna hiyo) na pia suppliers wa products...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.