Recent content by Mnasihiog

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Vigezo vya pepmis vimeacha maumivu kwa baadhi ya watumishi katika kupanda madaraja

    KIZA CHAZIDI KUTANDA, WALIMU WALIA NA MADARAJA 2025 VIGEZO VYA PEPMIS VIMEACHA MAUMIVU KWA BAADHI YA WATUMISHI KATIKA KUPANDA MADARAJA. Changamoto ya kupanda madaraja kwa watumishi wa serikali imekuwa sitofahamu, ijapokuwa kwa kiasi flani serikali imewezesha baadhi ya watumishi kupanda na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CWT imedanganya walimu kuhusu kupanda madaraja?

    Raisi wa chama cha walimu Tanzania alitoa tamko kwa vyombo vya habar kuwa wamezungumza na serikali kuhusu changamoto za walimu kutopanda madaraja kutokana na kigezo cha PEPMIS na kwamba serikali imekubali kupandisha walimu madaraja bila kutumia kigezo hiko kwani bado huu mfumo ulikuwa mgeni kwa...
Back
Top Bottom