Recent content by mmmzzz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

    Wacha hio
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Oa mwanamke mwingine kisha huyo mwambie kuanzia sasa nimekuacha arud kwao akapeleke upumbavyu wake huko
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!

    Tafuta mchepuko nje kisha usimuingilie wala kumuomba tena penz huyo mke ish kama humjui kisha mpunguzie matumiz hela unazompa punguza kisha punguza tension kwake atashtuka kwann umebadilika ghafla
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mna deal vipi na mtu unae mtumia hela afu asemi Asante au kama kaipata

    Usimtumie tena na futa namba ake endelea na maisha binadam ni wengi utapata wengine wenye sjui ran
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anamtesa sana mtoto wa marehemu dada yangu

    Fukuza oa mwingine mwenye roho ya upendo kwanza wakat unalioa hukulijua kua lina roho mbaya wanaume wngine bana umezingua sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anamtesa sana mtoto wa marehemu dada yangu

    Fukuza hio takataka mm siwez kua na mwanamke ambae hapendi ndgu zangu.. ww kaz yako ni kusaidia watu Baki tu hadi lin pumbavyu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

    Ko nikimzibua kwenye ndoa atakua hatulii?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

    Ushaur wa humu ni zaid ya ushaur wa wazeee [emoji28]
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

    [emoji28]
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

    Hahaha
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

    Wakuu mnasemaga humu kama dem sio bikra ukioa unakua umeoa mke wa mtu…. KWAHIYO NIWEKE NDAN HII MALI AU NIACHE TU…. Maomben ushaur wa mwisho nyie ndo mnajua mambo Mengi watu wa hum nawakubal sana akili kubwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

    Naomben ushauri nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa. Ni mtu wa Kondoa ni mrembo sana Kwakua ni binti mdogo na hajui mambo ya wanaume nimeona kama anafaa nimchukue au nimuache nichukue...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa?

    Acha kumla wengine atamla.. ukimuacha eti unasubiria ndoa jua yeye nje atakua anagawa kwa wanaohitaj
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna watu wanaenjoy kwenye ndoa? Nawachukia sana! Nasumbuliwa na post traumatic syndrome I hate all woman even my sister

    Kemea pepo utakua na Jini mahaba linalokufanya usipende kuoa Libak likumilik wewe tu nenda ukaombewe utolewe shetan hilo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai atabadili cheti cha mtoto cha kuzaliwa atoe jina langu kwa kuwa ananichukia

    Huyo mtoto anakua sio wako ndo maana kwnza kamficha kuna baba Ake mwingine ambae hua anamuona. Pili.. huyo sio wako kwann abadilishe jina kwann asiliache hivo hivo? Anataka kuweka la baba ake wa ukwel ndo maana kakukimbia…. Tatu itakua Haufanani nae wala Hafanan na ndgu ako yoyote….. jiongeze…...
Back
Top Bottom