Recent content by MMMMM

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kutembeza maandazi barabarani wanahitajika

    Achana na hao wenye mawazo finyu pambana kijana mungu yupo utatoka tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nyanya zinapatikana kwa wingi?

    asantee mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nyanya zinapatikana kwa wingi?

    umeona eeeee
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nyanya zinapatikana kwa wingi?

    mbona wenzio waliuliza hapo juu we vepeee umevurugwa nn
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nyanya zinapatikana kwa wingi?

    yani ndo natafuta zinakopatikana kwa wingi mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nyanya zinapatikana kwa wingi?

    asante kunisaidia ! kuna watu wengine bana sijui vipi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nyanya zinapatikana kwa wingi?

    km ingekuwa mtu hana akili asingeuliza swali labda wewe ndo huna km mwalimu kafundisha hajaeleweka wanafunzi wanauliza swali na sio kusema ticha hana akili, jitambue
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nyanya zinapatikana kwa wingi?

    kununua from mkoani na kuuza dar es salaam
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nyanya zinapatikana kwa wingi?

    niko dar
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nyanya zinapatikana kwa wingi?

    habari wakuu, jamani anaejua vizuri soko la nyanya humu na zinapatikana wapi kwa wingi plizz msaada tutani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nyanya zinapatikana kwa wingi?

    Habari wakuu jamani naomba msaada kwa anejua vizuri soko la nyanya zinapatikana wapi kwa wingi tafadhari msaada tutani
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya kusambaza nyama za ng'ombe

    ndo maana waafrika hawaendelei kazi ya mizaha tuu kila saa kalaga baho utaletewa kesho
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya kusambaza nyama za ng'ombe

    asante lkn natafuta tenders sio 1kg for family use
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya kusambaza nyama za ng'ombe

    poa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya kusambaza nyama za ng'ombe

    Habari za humu ndani Jamani natafuta tenda za nyama ya ng'ombe mashuleni hotelini restaurant mama lishe na wenye uhutaji plizzz naomba msaada delivery free of charge mawasiliano 0716283599
Back
Top Bottom