Recent content by mmmirama

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hats off to Jenerali Twaha Omar Ulimwengu

    Niambie nani anaishi legally marekani, UK ,Canada bila ya proper documents!! ukijulikana huna wanakung'oa 24. Sisi tumewapa Warundi uraia 160,000 niambie ni taifa gani lingine limefanya hivyo. Hawa Warundi wamefuata taratibu baada ya kukaa kama wakimbizi. Rais Mkapa aliwahi kwenda nchi moja...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

    what a ridiculousl assertion, are you crazy you are using an example that is absolutely BS..I cant believe this..I swear to god Tanzania is doomed..the onle solution is "NEOCOLONIALISM"
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

    Una maana gani?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

    @counterpunch, did you want to be know as counterattack!!lol Kwa nini unaongea kama unaishi 18th century..hi ni 21st century na hakuna mtu anayeweza kufeki mambo kama hayo, kama unaona huyu kijana anasaidiwa na Rostam Azizi, kwa nini unakuwa kipofu kuona kwamba huyu anatoswa na kikwete, mke...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

    Hi Sheria ya Uraia Tanzania ina hitaji mtu yeyote aliyezaliwa na mzazi aiye Mtanzania anatakiwa kuukana uraia wa mzazi wake akifikia umri wa miaka kumi na nane. Katika mfano wa Hussein bashe, mama yake alizaliwa katika mkoa wa tabora, lakini na mzazi ambaye alikuwa ni raia wa Somalia. Mama wa...
Back
Top Bottom