Recent content by mmfarming

  1. M

    JamiiForums Tanzania Combine harvester mf 87

    Hii Yaki Europe kaka. Nahii siyo yampunga. Inafaa kwa kilimo cha ngano shayiri mtama na vilimo vyengine. Kama Unataka ya bei rahisi. Zipo za kichina nyingi tuu. Lakini hii ni Sawa na Trekta utatumia maisha yako yote. Kuisafirisha tu peke yake kutoka Denmark imetukosti milioni 15. Hii hawezi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Combine harvester mf 87

    Tunauza combine harvester Massey ferguson 87. Tumelinunua kutoka Denmark, ambako limetumika kidogo sana, na halijatumika hatakidogo Tanzania. tunliuza kwasababu tunabadili kilimo. tunataka tulime mbogamboga. combine ni zuri sana. limefanyiwa full service. Unalipa pesa zako zote...
Back
Top Bottom