Mambo unayonielewesha yako juu ya uwezo wako. Kwa hiyo sidhani kama unastahili kunifundisha.
Hata hivyo, kiswahili ni chetu sote, nami nafahamu sawasawa.
Hakuna njia ya uthibitisho kwamba kifo kinatoka wapi. Ni nje ya uwezo wetu, lakini kifo kipo. Ndiyo maana nasema, sio kila jambo unaweza thibitisha uwepo wake.
Hata Mungu pia yupo, ila hatua njia ya uthibitisho ya uwepo wake. Ni nje ya uwezo wetu.
Kama kifo ni sifa, je unaweza thibitisha hiyo sifa inatoka wapi?
Sifa ni neno linalotoa habari zaidi kuhusu nomino. Ni neno linalojiri baada ya nomino.
Kutoweza kujua hali fulani inatoka wapi au itatokea lini, ndiyo uthibitisho tosha kwamba sio kila jambo lina njia ya uthibitisho wake...
Hoja yetu sio mjadala wa aina za maneno ya kiswahili na migawanyiko yake.
Huoni kuwa hoja yako ni dhaifu sana kuniuliza mimi ati kivumishi nini?
Sina historia ya kujibu maswali yanayolenga kupindisha maada kinyemela. Rudi kwenye hoja yetu. Sio kila jambo lina njia ya uthibitisho wake.
Mwambie asinywe vimiminika kiasi kingi baada ya saa 10 jioni. Kama bado, basi asinywe kiminika chochote baada ya saa 10 jioni. Afanye hivyo na kufurahia usingizi mnono.
Kumbuka, sijasema asile chakula.
Ni vizuri kujiamini kuwa ni mwelewa kuliko mimi. Lakini huenda ni kinyume chake. Hiyo link niliifahamu hata kabla hujanipa.
Hiyo link haizungumzii historia ya mambo, ila inazungumzia mapokeo ya mambo. Mapokeo na historia ni vitu viwili tofauti.
Unafahamu historia ya Mungu wangapi?
Appeal to tradition kwenye masuala ya logical fallacy vyoye ni mapokeo ya tamaduni au mila za jamii husika.
Appeal to tradition/logical fallacy havimaanishi historia ya jambo, bali ni mapokeo ya jambo
Sina udanganyifu wa kuelewa, bali napinga dhana ya kuwa kila jambo unaweza thibitisha uwepo wa nafasi yake.
Najua fika kuwa kifo na muda vipo na ni vitu gani. Nisichojua ni kwamba vinatoka wapi na nataka uthibitisho wake.
Kama utaniuliza nikuambie mtoto akikua ufupi huwa unaenda wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.