Recent content by Mmawia

  1. Mmawia

    JamiiForums Tanzania BASHITE HAWAJUI VIZURI WAKRISTU, ATAJUTA SANA.

    yaani bi Msumi ni Mungu?
  2. Mmawia

    JamiiForums Tanzania BASHITE HAWAJUI VIZURI WAKRISTU, ATAJUTA SANA.

    Mbona wewe unamuamini bi Msumi?
  3. Mmawia

    JamiiForums Tanzania BASHITE HAWAJUI VIZURI WAKRISTU, ATAJUTA SANA.

    Hana uwezo wa kumtoa mzee huyo kajichimbia sana mizizi
  4. Mmawia

    JamiiForums Tanzania BASHITE HAWAJUI VIZURI WAKRISTU, ATAJUTA SANA.

    Tangu atoe mafunzo yake kwa viongozi wa makanisa naona kila kukicha mambo yanamgeuka. Sijawahi na sitokaa niwe na Imani naye.
  5. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamuunga mkono Dudu baya na chunga mgongo wako, Je watafukuzwa ubunge?

    Wacha tuendelee kutumbua macho na masikio
  6. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamuunga mkono Dudu baya na chunga mgongo wako, Je watafukuzwa ubunge?

    upo sahihi kabisa
  7. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamuunga mkono Dudu baya na chunga mgongo wako, Je watafukuzwa ubunge?

    kwahiyo Basata wamekurupuka siyo? Basata siyo taasisi ya serikali?
  8. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamuunga mkono Dudu baya na chunga mgongo wako, Je watafukuzwa ubunge?

    Nakubaliana na maneno yako kwa 100%
  9. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamuunga mkono Dudu baya na chunga mgongo wako, Je watafukuzwa ubunge?

    Kufuatia mwana mziki wa Bongo fleva Dudubaya kuibuka na juhudi zake za kupinga ushogq nchini. Juzi tulishuhudia Basara wakimfungia bwana Dudubaya kufanya shughuli zake Na kupiga faini ya sh 3,000,000. Kisa kuwapiga marungu wale wasiyo linda migongo yao. Leo hii wabunge wamejitikeza kumuunga...
  10. Mmawia

    JamiiForums Tanzania DUUU KUMBE KOSA LA NCHIMBI NI KUWAAMBIA WATANZANIA KUIPIGANIA KATIBA MPYA?

    Inasikitisha sana kama kweli hili ndiyo kisa la kufanya makamu wa rais kutukuzwa. inatia huruma sana na masimango.
  11. Mmawia

    JamiiForums Tanzania HONGERA SANA URUSI,HONGERA SANA IRAN,HONGERA SANA N.KOREA,HONGERA SANA CHINA.

    Mmawia tena nimeibuka mshindi pamoja na wale tuliokuwa/ tunao endelea kukubali sana Urusi dhidi ya USA. Mwanzoni kabisa mwa Vita kati ya Urus na chawa wa USA nchi ya Ukraine nilisema au tulisema kuwa kwenye hii Vita Urus watatoka kidedea. Leo hii tumeshuhudia kuwa Urusi kaibuka mshindi kwani...
  12. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Jussa: Rais katoka Zanzibar imekuwa nongwa, Rais alipokuwa wa kwao hawakuona Tanganyika imeuliwa

    Ni wajinga tu hakuna cha ukweli
  13. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Jussa: Rais katoka Zanzibar imekuwa nongwa, Rais alipokuwa wa kwao hawakuona Tanganyika imeuliwa

    Kwa kuwadogosa watanzania bara
  14. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Jussa: Rais katoka Zanzibar imekuwa nongwa, Rais alipokuwa wa kwao hawakuona Tanganyika imeuliwa

    Hawa watu hawaridhiki kabisa
  15. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Jussa: Rais katoka Zanzibar imekuwa nongwa, Rais alipokuwa wa kwao hawakuona Tanganyika imeuliwa

    Huyu ndiyo alistahili kuwepo ukonga badala ya MH Lissu
Back
Top Bottom