Wana Bodi Nawasalimu.
Nina Muda Mrefu Sana Kama Mkongwe Humu Jamvini Takribani Miaka Saba Sijaingia Humu Nikipambana Jimbo La Meru Lirudi Ccm Leo Imenibidi Niingie Kwa Hili Nyambo Nyeti Sana La Kupiga Kura Kwa Maraisi Watatu Africa Bora Katika Demokrasia Na Mojawapo Aliyeingia Ni Rais...
Wazawa Ni Wangapi Walionufaika Na Ajira Juu Ya Kampuni Yake, Na Je Wageni Wangapi Wameziba Nafasi Za Wazawa ?
Japo Manji Amesaidia Kukuza Ajira Kwa Watanzania Ifike Pahala Serikali Wafike Na Manji Memorund Of Understanding
Ukame ni hali ya kidunia na ni mabadiliko ya tabia Nchi pia,iwe hatua moja mbele kwa watu kutambua sasa mvua si ya kuitegemea tena na isiwe sababu ya kuanza kulalamika lalamika njaa njaa wakati akili inataka igundue kitu kingine ili kupata solution ya njaa na nikukumbushe tu kuna maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.