Suala la Uongozi si suala la Mtu alivyo, suala la mfumo unaomweka madarakani yeye, mfumo ndio unaoamua nini kinapaswa kufanyika, iwapo kiongozi anakuwa na yake maana yake analazimisha mfumo umuondoe madarakani. Dikteta anaweza kukuza uchumi ila haweza kuleta maendeleo kwasababu vitu siyo watu...
Kwa dhana hii naona kama hutofautishi kati ya "kukua kwa uchumi na Maendeleo" uchumi unaweza kukua lakini maendeleo hayamwitaji dikteta hata siku moja, iwapo katika Taifa mambo yanaendeshwa kidikteta maana yake hata huduma hazitatolewa kwa usawa.
Demokrasia ni mfumo wa utawala ambao watu wana sauti ya juu kabisa katika kuisimamia serikali yao wakati inatekeleza majukumu ambayo muhimiri wa madaraka unabebwa na nguvu ya umma kupitia wawakilishi. Tangu kuingia madarakani kwa serikali ya awamu ya tano 2015-2020 kumekuwa na ukiukwaji wa haki...
Mamlaka ni kuwa na nguvu/ jukumu la kusimamia taratibu,sheria na miongozo mbalimbali inayochangia kujenga misingi ya Maendeleo katika jamii fulani.
Jukumu hili huwa limeainishwa katika miongozo ya kiutendaji, miongozo hiyo huwekwa ili kulinda maslahi ya umma na Taifa kwa ujumla.
Kwa kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.