Habari wakubwa.
1. Naomba kuuliza mchunguzi wa kesi anaweza kuwa shahidi mahakamani?
2. Kwenye kesi ya madai hakimu anaweza kuruhusu mashahidi wawili kuingia kwa wakati mmja na kutoa ushahidi, au anapaswa kuingia shahidi mmjammja.
Asante
Habari wakuu.
Nimeajiliwa kwenye kampuni flani Kuna kosa lilitendeka likafanyiwa uchunguzi na nikaitwa kwenye kamati ya kikao cha nidhamu yenye wajumbe 6 waliokiwepo kwenye kikao hicho, lakini pia kampuni ilikuwa na mashahidi 3 kati ya mashahidi hao mmja ndio aliyefanya uchunguzi wa hii kesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.