Recent content by mlangalihero

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Walimu waiva; watoa notisi ya masaa 48

    Huu mgomo sijui kama utafanikiwa kwa sababu hizi zifuatazo: 1. CWT na uongozi wa mkoba ni dhaifu na duni na wapo kwa ajili ya kuganga njaa kutokana na michango ya walimu na sio kutetea walimu. 2.Walimu walio wengi ni dhaifu katika kufikiria juu ya haki zao na umuhimu wao kwa taifa hili. Hivyo...
Back
Top Bottom