Recent content by mlaki mlaki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwamke aliye kwenye ndoa ya Kiislam akabadili dini anaweza kudai talaka?

    Na je kama mwanaume alitoa Mali kwa wazazi na hakulipa Mahali kwa mke inawezekana mwanamke akimpa talaka kumlipa ingali mwanamke hakupokea Mahali yake
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwamke aliye kwenye ndoa ya Kiislam akabadili dini anaweza kudai talaka?

    Na je mwanamke akidai talaka na mume akagoma kuitoa ingali mwanamke sidini yake tena ndoa itaendelea
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwamke aliye kwenye ndoa ya Kiislam akabadili dini anaweza kudai talaka?

    Naomba msaada juu ya hili. Je, mwanamke aliyeolewa Kiislam akaja kutengana na mumewe na kubadili dini je ndoa itakuwepo paka atakapodai talaka au ndoa itafika mwisho.
Back
Top Bottom