Recent content by Mkwawa Old

  1. M

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    Kwa sasa MR kulikoni umeanza kuongea angalau vizuri. Maana uliingia kwa mkwara mpaka nikasema la! huyu jamaa vipi! Mimi hilo la idadi ya wateuliwa kutoka DINI FULANI huwa sipendi kuliongelea sana. Ila ninachosema ikitokea JK akawa anateua watu kwa kufuata Dini basi atajimaliza haraka...
  2. M

    Does this [Interview] give answers on our mining contracts??

    Tunataka uamuzi kama aliochukua rais wa chad wa kuyaFUKUZA Makampuni ya Marekani na Malasyia yanayochimba mafuta nchini mwake. Yalikuwa hayataki kulipa KODI. Ameyapa 24 hrs kuondoka. Wakati sisi hawa wezi wamekataa kulipa hizo milioni mbuzi(200) katika halmashauri kwa kipindi cha miaka 6...
  3. M

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    Mzee ES, niko positive kwenye mchango wa selemani, MCHANGO WA SELEMANI NI MZURI ILA TU LILE NENO "KUMKOMALIA". JK katiba inamruhusu ila sisi tuweke mabaya yao wazi ajue tunajua. Niko pamoja nanyi ila ni msisitizo tu KATIBA YA NCHI INABIDI IANGALIWE UPYA ILI RAIS APUNGUZIWE BAADHI YA...
  4. M

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    Lakini wakati mwingine watu wanashangaza!!! Selemani Kagombee urais wa Tanzania ili umchague Mkuu wa usalama wako!! Jamaa ana haki kikatiba sasa tararila za nini?. Facts anazotoa Mzee Es ni sawa lakini alishasema kuwa Jamaa JK katiba inamruhusu ila tu kachagua vibaya kwa maoni yake na ya...
  5. M

    Does this [Interview] give answers on our mining contracts??

    Kumbe bado ni uhinu ule ule! Hivi ni nani ametulaani? Kwa kweli suala la madini msipolishughulikia vizuri. Tutawashughulikia na familia zenu hata kama mtakuwa na miaka 90 kama Pinochet! Huu si utani hata kidogo na inawezekana msifikiri haiwezekani!. Mtu hawezi kuvuna hela zote hizo...
  6. M

    Mhe. Rais... Amuru watu hawa wakamatwe!

    Mwanakijiji leo nimesikia, Kutoka kwa aliyekuwa naibu waziri wa wizara hiyo eti serkali inachofanya siyo kurekebisha Makosa ya awamu ya tatu! Anajihami sana huyu. hivi kwa mfano kama katika AWAMU YA TATU tulikuwa tunalipwa asilia 3% kutoa 1.9% kwa jili ya ukagazi. LEO AWAMU YA NNE...
  7. M

    Watanzania nani katuloga ?

    hivi karibuni niliongea na mwana mama mmoja ambaye ni lawyer! Baada ya majadiliano marefu alikiri kwangu kuwa tumeparamia sana mabadiliko ya kuwapendela wanawake. Mabadiliko yaje lakini taratibu. Akaongezea kuwa hali ya Tanzania hivyo si zaidi ya miaka kumi ijayo Tanzania litakuwa taifa...
  8. M

    Watanzania nani katuloga ?

    jibu ni simple!! mchawi ni chukua chako mapema. ukipewa elimu ni sawa na dawa kwa hiyo mchawi anataka ufe!
  9. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Hii ni speech nzuri. Ni vizuri kama wanachama wote wa CCM wa eneo husikika watashiriki katika kura za maoni za kuchagua wagombea uongozi. kuhusu hela je ni kweli watatekelza hili na kuachana na hela za wizi? au majambazi kama. nilivyowahi kuskia huko Moshi jimboni mwa waziri wa sasa. Kuna...
  10. M

    Iran yajaribu kupitisha Uranium Tanzania!

    Moyo huwa unaniuma ninapoona mtu mmoja anatukana na kunyanyasa watu katika hii Forum!! hadi amesababisha watu wengine kama M..etc wamekimbia hii Forum! . Na hata kama akiombwa msamaha yeye hutukana tu! Jamani tunakuomba msamaha au unataka watu wote wakuachie huu uwanja? anyway, tuwe...
  11. M

    Iran yajaribu kupitisha Uranium Tanzania!

    Mimi sitaki kuliongelea sana hili! Ila cha ajabu utaona kuna watu wengine wanapiga kelele Iran, ... Lakini wakati huo wanaonyesha ushabiki wa WAZO KWA MAREKANI. HUU NI UHUNI AMBAO UNANIUDHI SAANA!. LABDA NI VEMA NA BUSARA KUSEMA NCHI YETU IWE NEUTRAL. PIA IKUMBUKWEWE KUWA WAISLAMA...
  12. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Ninakubaliana na wewe, LAKINI LABDA WALIOGOPA KUFUNGWA AU KUFUNGIWA! JAMAA ALIKUWA ANATISHA AU D... LAKINI UHURU UKIWEPO BILA VITISHO NINADHANI WAANDISHI WASIPOUTUMIA HUO UHURU. BASI WAMELAANIWA TU!
  13. M

    Ni aibu kubwa kuwa ombaomba huku tukigawa mali kama njugu!!

    Kilio cha kulinda bwawa la Kyarano ambalo nalo Makaburu walikuwa wamepewa na serkali ya Mkapa kimeanza kusikilizwa na serikali ya awamu ya nne! Kumbe kweli kufa Kufaana! http://www.freemedia.co.tz/daima/2006/07/20/habari2.php
  14. M

    Ni aibu kubwa kuwa ombaomba huku tukigawa mali kama njugu!!

    Mkapa Mkapa! Bingwa bingwa! Mjuaji mjuaji ! aliwaita watu wanaohoji 3% kuwa ni hawajui walisemalo! aliyetuliza naye anasema nini??! watalaaniwa hao watu.Hivi kuwa rais wa NCHI maana ni kuwa "bingwa" wa kila fani?! na kuwa wewe ni Msomi na uelewa wako ni wa kwanza kuliko watanzania wengine...
  15. M

    Ni aibu kubwa kuwa ombaomba huku tukigawa mali kama njugu!!

    Mgodi wa Buhemba tangu mwanoni tuliskia hata Mkatababa hawakuingia na makaburu bali walipawa tu kuanza kuchimba , Akina former PM Sumaye anahusika sana. Cha ajabu hata maji ya Bwawa la Kyarano nalo ni kama Makuru walipewa. Ni kwa nini makaburu wasianzishe mradi wa kuvuta maji tka ziwa victoria...
Back
Top Bottom