Recent content by Mkwataki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni kina nani hasa wanufaika wa fursa za Serikali kwa ajili ya vijana

    Serikali imekuwa ikitangaza fursa nyingi za kuwawezesha vijana kujikwamua kiuchumi. Hata hivyo, kuna malalamiko kutoka kwa baadhi ya vijana kwamba mchakato wa kupata fursa hizo si wa wazi na huenda baadhi ya makundi yanapewa kipaumbele.
Back
Top Bottom