Recent content by mkushite

  1. M

    Why me simpati mwanaume kama huyu i am tired kabisa

    Ungekubali kuwa na mwanamme mmoja hasa hasa yule aliyekutoa bikra, ungeyapata yote haya. Tatizo ni kwamba tiyari usha gongwa gongwa na wanaume tofauti, huwezi mpata mwanamme mmoja akutimizie hayo yote. Utalazimika kuwa na wanaume zaidi ya 7 ili uweze kuyapata hayo yote. Kwa kifupi, akili...
  2. M

    Katoa mimba zangu 2 ananijibu majibu mepesi nimekasirika sikutegemea

    ndivyo walivyo. ndiyo wauwaji namba 1 duniani. wanaua watoto, wanaua waume zao ila kwa kujifanya innocent.
  3. M

    Iwekwe sheria umri wa Mwanaume kuoa uanzie miaka 30

    ndoa ni ya mwanamke. Mwenye uhamuzi wa kuanzisha ndoa ni mwanamke siyo mwanamme.
  4. M

    JE single Father nae anaruhusiwa kuowa Binti kigoli ambaye ni mgeni kwenye ntansinia ya mapenzi?

    vigezo vya kuoa na kuolewa ni tofauti. 1. Kuoa ni lazima uwe vizuri kiuchumi ila kuolewa uchumi wa mwanamke siyo kigezo. 2. Kuoa body count siyo kigezo ila kuolewa body count ni kigezo kikubwa mno. ndiyo maana biti anasema anataka kuolewa na mwanamme mwenye hela na kijana anatafuta kuoa binti...
  5. M

    Naomba ushauri: Nimegundua mke wangu ana mahusiano na jamaa ninayefahamiana naye

    Mahusiano ni ya wawili, mme na mke. Hapo mmoja akisema siendelei na ndoa hakuna taasisi yenye uwezo wa kubadilisha mawazo yake na hiyo ndoa lazima ivunjike.
  6. M

    Naomba ushauri: Nimegundua mke wangu ana mahusiano na jamaa ninayefahamiana naye

    kikubwa kwenu wanawake huwa mnajali sana hisia zenu kwanza mengine yanakuja baadaye. Nina hakika 100%, huyo mke wa jamaa anawasiliana na huyo mgoni wake kwa siri kubwa kwani pressure aliyonayo anayeweza kuipoza ni huyo jamaa.
  7. M

    Naomba ushauri: Nimegundua mke wangu ana mahusiano na jamaa ninayefahamiana naye

    wewe unongelea nadharia. Huo sio uhalisia. mwanamke malaya, hana tofauti na muuaji.
  8. M

    Naomba ushauri: Nimegundua mke wangu ana mahusiano na jamaa ninayefahamiana naye

    Pole sana mkuu. Nimeisoma thread yako kwa makini sana na kiukweli nimeguswa, maana scenario yako inafanana kabisa na yangu. Nimeshapitia maumivu haya, najua namna yanavyovuruga akili, moyo na hata future plans zako. Kwa uzoefu wangu naomba nikupe ushauri mmoja wa nguvu, wenye msingi na faida...
  9. M

    Naomba ushauri: Nimegundua mke wangu ana mahusiano na jamaa ninayefahamiana naye

    Huyo atachapwa tuu na huyo jamaa. ni jambo la muda. Mwanamke huwa anavua akili kabla ya kuvua chupi.
  10. M

    Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

    uyo mkeo ni mpaka umspoil ndo akupe mambo mazuri. sasa anatofauti gani na malaya?
  11. M

    Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

    sasa hapo nani mwenye tatizo kati ya anayetongoza au anayetongozwa?
  12. M

    Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

    Kwahiyo mwanamke aliyeolewa akitongozwa awe anakubali kisa katongozwa?
Back
Top Bottom