Recent content by mkure2020

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Niliolewa Bikira ingawa nilianza kuuza Bar tangu nikiwa na miaka 14

    Hapana, sikuweza kuendelea na masomo katika mfumo rasmi kwani elimu yangu ya darasa la saba ilikua kikwazo kupata chuo cha kusomea taalam nzuri maana sehem nyingi walihitaji kidato cha nne na kuendelea ila kupitia mume wangu alishauri zaid mradi utakao nifanya niwe nyumban zaid, nafuga kuku pia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Niliolewa Bikira ingawa nilianza kuuza Bar tangu nikiwa na miaka 14

    ukwel inapendeza kwa jamii, wazazi na hata Mwenyezi Mungu
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Niliolewa Bikira ingawa nilianza kuuza Bar tangu nikiwa na miaka 14

    hata kama tukichanganya kazi kwa maana ya kufanya kazi mbili halali sawa, ila kutumia mapenzi kama sehemu ya kipato mbaya saana maana heshima ya mwanamke huja kwa kua na malengo na msimamo hasa kuhusu utu na afya njema, hakika usichanganye kazi na mapenz
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    hakika njia hizo zitapunguza kma sio kumaliza kabisa tatizo la umeme Tanzania upatikanaji na bei
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Akili, nguvu na bahati dhidi ya umaskini, ujinga na maradhi

    kumbe nguvu pasipo bahati na akili ni ngumu sanaa,
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Niliolewa Bikira ingawa nilianza kuuza Bar tangu nikiwa na miaka 14

    Mwanangu hakuna kingine ambacho unaweza jivunia au kukupa heshima kwa mumeo zaidi ya kumtumzia usichana wako (ubikira) maana kama ni elimu huna ya kutosha na hali duni ya maisha ya sisi wazazi wako faraja pekee ya sisi wazazi wako ni wewe kutupa heshima maana tumekuzaa na kukulea katika maadili...
Back
Top Bottom