Kiongozi wangu kila mtumishi anakitengo chake so kwa kitengo changu mi nadili mikopo kwa watumishi wa serikali. Majina ya abc hotel na back yametokea kufanana tuu lakini havina uhusiano wowote katika umiliki
Mi npo makao makuu DSM kama na yeye yupo hapa afike ofisin kwetu apate taarifa sahihi ila kama yupo mkoani nimeona no njia sahihi yakumpatia taarifa moja kwa moja.
Hi bwana Kulyunga.
Mi ni mtumishi wa banc ABC nmejisikia vibaya sana baada ya kusoma taarifa yako lakini ninajukumu lakuhakikisha unaiona bank yetu kama sio yakitapeli wala namna yeyote ile mbaya kwa jamii. Nahisi kutakuwa na tatizo la mawasiliano kati ya ww mteja afisa wa mikopo aliekujazia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.