Habarini wana jukwaa.
Wanajukwaa naombeni msaada, mimi natafuta mbegu bora ya mpunga (iliyonzuri kibiashara).
Naomba mnisaidie kujua ni kampuni lipi linazalisha, libapatina wapi na mawasiliano yake.
pili, nakaribisha mtu yeyote mwenye ufahamu na ushauri juu ya mbegu ipi ya mpunga ni nzuri sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.