Recent content by mkulima 111

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

    shukurani pia ziende kwa wale wasio amini na kuona kila anae kuja jf kaferi 'awashauri wabadilike sasa kila kitu ni hazarani. sio siri kama miaka 50 iliyo pita. well done JF kwa mpango wenu.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

    habari za leo wanajamii? natumaini ni wazima wa afya........ kama kawaida cku yangu jana iliendelea vizuri sana jana nilikutana na mtu mmoja tu (1) kila swali langu lilijibiwa vizuri..! ninamatumain huyu huenda akawa ndie hasa mkulima niliekuwa namtafuta, pia nitoe shukurani kwa mlio ni pm na...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

  4. M

    wamama msinielewe vibaya! mimi sitaki ambae ana watoto wawi! ukiwa na mmjo sio tatizo! nataka kuwa na watoto 3 sio 4 naomba mnielewe! huu ni msimamo wangu. nitafurahi sana kama mtakuwa waelewa! simbaguwi mtu! nawatakia cku njema!
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

    habari zenu wana jf..? natumain tunaianza cku kwa matumain! jana ilikuwa siku ya promes nimeonana na wadada wawili daah sijuwi hawakunielewa? swali la kwanza lilikuwa hili namuuliza unamtoto? anasema ndio ila ninao wawili (2)..! jamani na sisitiza ukiwa na watoto wawili pole sana wala...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

    kwenu ni kusugulia! huku ni mbolea safi!
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

    nazisubiri pim zenu!
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

    hahaha jamani nahisi teh teh ki ki ki ki uuwiiii haya subirini usaili mwisho tarehe 30 mwezi 11 2012 kama hajapatikana! basi nitabadilisha mwelekeo!
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

    karibu!
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

    dah safi sana tutakuwa nayo matatu nahisi tutakuwa hatuuzi tena mchele hapa bongo!
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

    hahaha ndugu yangu ukulima wa siku hisi ni mipango! sio kushika jembe bali ni kalam na touch screen pembeni!
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

    hizo ni hisia zako umeziwasilisha! una uhuru!
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

    by the way unayo nafasi ya kubadilisha mazingira! amua chukua hatua!
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

    wewe huo ndio upeo wako unazani enzi zile..? sasa natuma post yangu nikiwa shambani mwangu! amka juwa wakulima wa leo sio wa miaka 50 iliyo pita!
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nahitaji mkulima mwenzangu!( mke)

    zile zimepita sasa tuuwakulima wasafi unapiga suti na unaenda shambani enzi zile mkulima lazima uwe mchafu! ndio maana ulishindwa!
Back
Top Bottom