Recent content by mkudenyani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengine mlioolewa mnakatisha tamaa!

    umefanya kitu amab
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengine mlioolewa mnakatisha tamaa!

    ww jamaa umetoa ushaur mzuri, nakupongeza kwa hilo,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengine mlioolewa mnakatisha tamaa!

    jaman tunakosea matumiz mabaya ya mitandao, hivi unavyosema wewe dada ukataja eneo analofanyia kazi unahisi yuko pekeake? hivi akaja kujua kwa njia yoyote ile mnahis atakuwaje? embu tukue na tujue kuitumia vizur mitandao, hivi mnajuaje kama jamaa alikataliwa ndio akaamua kufanya hivyo, wanaume...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengine mlioolewa mnakatisha tamaa!

    oyaa wee jamaa achana na hayo mambo maana kitendo cha kutaja kampun ya watu ni doa tosha hata kama kuna ukweli au ni habar za kutunga, achana nazo ikiwezekana toa hiyo habari haraka sana, na kama una uchungu na huyo mtu mtafute inbox ongea nae, nakushauri hiyo mada toa hapo , unaweza leta shida...
  5. M

Back
Top Bottom