Tumekwisha, kumbe na Ombeni sefue ndiye kinara wa ubalozi wetu. Ama kweli yale yaliyosemwa kuwa kuna kikosi cha MAFIA TZ, nakubaliana nayo. wamejidhatiti na wamejipanga kweli kweli, hapa panatakiwa mkono wa simba kuwa sambaratisha.
si vitu vyote, si vitendo vyote na si mambo yote yatakayohitaji...