bro hayo matusi, mm nasoma st.joseph arusha ndo wanafunzi wa kwanza kufungua hiki chuo pia cc ndi tuliofanya st. joseph ionekane unavyoiona wewe sio kila alioko st.joseph anaufaulu mdogo binafsi nina two ya 12 naamin kabisa kuna watu udsm nimewapita tena wengi. so bro badilisha kauli. simshaur...
tatizo tanzania hatuna umoja wa kitaifa assume vijana tungekuwa na umoja mimi naamin tungefanya mengi na kuliokoa taifa letu dhidi ya ufisadi unaondelea kutukandamiza. ila mtu akitokea kushauri jambo mnasema ni siasa.
acha kuongea pumba wewe. unacomment kitu usichokijua. wewe unajuaje kama wanauongozi wa chuo badala uulize kama kuna uongozi wa chuo unakimbilia kuwaambia waache kuungana. wewe ni mse... usiyefikilia ndo maana tanzania hatuendelei kwa sababu ya watu kama wewe FAL.... WEWE. unajiona umeongea...
Nishidaaaaa, Ila arusha campus hakuna diploma kuna special program miaka mitano hao ndo majanga zaidi kwani topic mfano mechanics wanafundishwa siku moja imeisha, kumbuka hawa special coz wengi hawakwenda advance ila wanamezeshwa kiivyo, wanapiga paper na wanapata GPA hadi 4.9
Yaan ndg st. Joseph zote zipo hivyo katika education ila tuliogoma ni wa arusha tu. Songea, makambako na dar wanaendelea kusoma na next week ndo wanaanza end exams. Sasa jiulize vyuo vingine vinaingia mwaka mwingine wa masomo st. Joseph bado wapo vyuoni. Wito kwa ndg zangu wa st.Joseph dar...
Ndugu zangu Watanzania, natoa Uzi huu kwa masikitiko makubwa.
Mi ni mwanafunzi Wa hapo st. Joseph arusha campus, typo home tunasubiri hat a yetu kwani tuligoma kuingia darasani mwezi Wa 8 kutokana na chuo kukosa mtaala wa kufundishia.
Toka tumeripoti chuon halo mwaka jana mwez Wa kumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.