Recent content by mkomb

  1. mkomb

    JamiiForums Tanzania HIV

    Kuna utofauti gani katika upimaji ukimwi Kwenye vidole vya mikono na Kwenye mshipa mkubwa wa mkon?
  2. mkomb

    JamiiForums Tanzania HIV

    what are the different in measure HIV in larger blood vessels compared to small blood vessels (in hand nails )?
  3. mkomb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimesikia wrong sex inaleta mikosi maishani kwanini?

    Je ukimpata mwanamke mkienda kupima inachukua miezi mingapi Ili vipimo vitoe majibu sahihi after exposure
  4. mkomb

    JamiiForums Tanzania Kuna watu ambao hawapati maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU)

    Sijakuelewa kaka
  5. mkomb

    JamiiForums Tanzania Kuna watu ambao hawapati maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU)

    Je inachukua miezi mingapi Ili ku confirm majibu ya vipimo vya ukimwi after exposure
  6. mkomb

    JamiiForums Tanzania Baad ya ngono isiyo salama, ni muda gani mtu asubiri kisha akapime VVU ili kupata majibu sahihi?

    Veepi haziwezi kuextend labda miezi mitani mpaka sita
  7. mkomb

    JamiiForums Tanzania Baad ya ngono isiyo salama, ni muda gani mtu asubiri kisha akapime VVU ili kupata majibu sahihi?

    Mbona kama kila mtu anakwepa swali🤔
  8. mkomb

    JamiiForums Tanzania Baad ya ngono isiyo salama, ni muda gani mtu asubiri kisha akapime VVU ili kupata majibu sahihi?

    Pole na majukumu natumai wote ni wazima wa afya na akili pia Kuna rafiki yangu ana mke wake ana siku nyingi hajawanae karibu alikuwa nje kikazi amerudi mwezi wa nane tareh 20 akakutana na mwenza wake kimwili pasipo kinga. Hofu aliyo kuwa nayo sasa nikuambukizwa HIV kwasababu amesikia habari...
  9. mkomb

    JamiiForums Tanzania STDs: Aina za magonjwa ya zinaa, dalili zake na ni hatari kiasi gani?

    Does 100 days enough to detect HIV infection after exposure?
  10. mkomb

    JamiiForums Tanzania Ni muda gani unapaswa upime UKIMWI baada ya kukutana na mwaname kimapenzi

    Ingekuwa vizuri ungetaja utaje idadi yasiku ambazo mtuana confirm results.[emoji120]
  11. mkomb

    JamiiForums Tanzania Ni muda gani unapaswa upime UKIMWI baada ya kukutana na mwaname kimapenzi

    Hofu ilitanda Kwenye nafsi yangu baada ya siku 100 kupitia nikaenda mahabara yakaribu kwaajili ya vipimo vipimo vikatoka negative je siku 100 zinatosha ku confirm.?[emoji848]. Naombeni ushauri wenu kuhusu ilo.[emoji120]
  12. mkomb

    JamiiForums Tanzania Ni muda gani unapaswa upime UKIMWI baada ya kukutana na mwaname kimapenzi

    Nimekutana naye kimwili mwezi wa Tatu but nili baada ya hapo nilikuwa nahofu kubwa sana nikaenda kupima mwezi wa SITA mwishoni almost zilipita siku kama 105 vipimo vikasoma negative.
  13. mkomb

  14. mkomb

    JamiiForums Tanzania Ni muda gani unapaswa upime UKIMWI baada ya kukutana na mwaname kimapenzi

    [emoji112] Hello. Habari zenu wanajukwaa poleni na majukumu. Naombeni msaada wenu je kama umekutana kimwili na msichana alafu baada ya muda ukawa unamashaka na afya yako juu ya maambukizi ya ukimwi unahitajika ukae muda gani ndyo ukapime Ili vipimo vitoe majibu sahihi[emoji848]. Naomba...
  15. mkomb

    JamiiForums Tanzania True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Kwan nimudagani tangu mtu aambukizwe kipimo ndyo kinasoma majibu kamili.
Back
Top Bottom