Baaa ya kufika na kupata loidge nilitafuta chakula maeneo ya stand pale. Nilichogundua ile biashara pendwa (wazee wa kujilipua watanielewa) ilikuwapo pale maeneo ya stand na hii ikajenga picha kuwa biashara hii ipo kila sehem isipokuwa tofauti yake ni namana ya ufanyikaji wa hiyo biashara...
hawa watu nis shida mkuu. Wakti ukiangalia hata utangulizi nilishasema kuwa tunashare experience tu hapa natambua kuna magwiji wa huko kote nilipopita wanajua kituo kimoja mpaka kingine na wanakutana na mambo kibao kuliko hata yangu.
Hapa tunapeana experience tu ya mikoa si wote wamefika huko...
Acha kukurupuka hapo mwanzo wa uzi nilianza na "kushare experience"
Humu kuna madereva wanapita kila siku hiyo njia na wanaona mengi tu huko niani zaid ya hayo niliyoona mimi, kuna wafanya biashara kilasiku njia yao hiyo kuna watu wanajua vituo vyote kuanzia Mbinga mpaka Dar.
KUna watu hata...

Hii mada ya wapi kuna majabali nawaachia wenyewe. Kote nimeona kuna majabali sasa wapi kamzidi mwenzie ngoja niwaachie wenyewe maana kote nimeishia town tu sijaingia vijijini na kote yapo najabali.

Safi sana mkuu ndio dhumuni la kuandika huu uzi tuna share experience nashangaa wajamaa wakawa wanauponda . Hapa tayari ushanipa morale nikienda tena Iringa nifike hapo Lugalo huwa napenda sana historia ingawa sijasoma history.
Tiririka mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.