Recent content by mkola13

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauza green beans

    Uzalishaji upo katika mzunguko kwa mashamba tofauti tofauti na mwaka mzima maharage yako available
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauza green beans

    Nipo arusha
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nauza green beans

    Habari za j2 wanajf Mimi ni mkulima wa maharage machanga/maharage ya kijani almaarufu kama GREEN BEANS na pia nauza kwa anayehitaji karibu nikuhudumie. Kg 1 ni tsh 2000 bei inapungua kulingana na wingi wa mzigo pia tunafanya packaging kwa watu wa supermarket. KARIBUNI SANA pia tunatuma mikoani.
Back
Top Bottom