MKUU KISHERIA RAIS HAPASWI KULIPA KODI DUNIANI KOTE IKO HIVYO KWA SABABU KUU MOJA YA KISHERIA, KWA MUJIBU WA SHERIA YA KODI MKUSANYAJI MKUU WA KODI (HEAD OF TAX COLLECTOR) NI RAIS SO KUMWAMBIA ALIPE KODI NI SAWA NA KUINGIZA HELA MFUKO WA KUSHOTO THEN UKATOLEA HELA HIO HIO MFUKO WA KULIA
brother tatizo liko kwene matokeo angalia hayo matokeo ya mwaka jana form four then amka na uamshe wenzio acha kuwazamisha zaidi kwa kuwapa mawazo ya kipumbavu.
mdau haya maandishi ungeyaandika kipindi cha kampeni maana TBC na STAR TV zote mpaka taarifa za habari hawakumuonyesha mamvi au sheria haiwahusu wao? tutende haki bana ZNZ matokeo yashajulikana but mpaka sasa hayajatangazwa unajua kwa nn? ndo hapo ITV wanapoingia kuchimbua kwa nn n they deserve...
nimesoma kifungu kwa kifungu nukta kwa nukta sheria ya uchaguzi na sheria Ya gharama za uchaguzi hamna kipengele kinachoongelea hio ishu so msikuze mambo someni kwanza NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.....umeyabeba tu huko fasta unakuja mbio alafu kijana aaaaaaaaaaghrrrrr
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.