Recent content by Mkini joseph

  1. M

    Mgote physics anakariri vitu, haelewi

    Da umenikumbusha browang tumefanyanae sana kazi tulikua tunafundishanae pale tution center Mwenge mi nikiwa napiga chemia na bios yeye physics na adv mathematics ila hatimae mungu alimpenda zaid mnamo mwaka jana miezi ya katikati R.I.E.P Mr Kihombo Elias TO wa kihistoria
  2. M

    Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

    Sasa kuna huyo magoiga atakua ndo kamrithi huyo yaan ni mnoko tulikua tunamuita mbwa wa shule
  3. M

    Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

    Da umenikumbusha mbali sana mkuu kuiona shuleyangu nilipoivia apo
  4. M

    Clinical Medicine / Clinical Officer.

    Sorry wakuu mm nina degree ya ualimu wa chemia na bios ila nataka nikasome course ya afya diploma je ni ipi nzuri na yenyesoko kwa sasa
Back
Top Bottom