1.Ninakupenda sana,nikajitolea kwa kila kitu,nikakujali,nikakuheshimu,nikakuita "mume wangu " nilikuita kwa kumaanisha,nlikuwa tayari kila unachosema nakifata,kila unachotaka nakufanyia,nikawa muwazi kwako,hisia zangu nikakuonyesha.Nikakupa mwili wangu na moyo wangu,nikakuambia...