Sasa tu hapo nashindwa kuelewa uchambuzi wa hii maada!!! Ila takwimu zangu zinaonyesha mwaka 2009 had 2010 Rais Maguful hakuwa waziri wa ujenzi bali alikuwa waziri wa kilimo mifugo na uvuvi.. Sasa wali je wakala wako ni muhemuko kwa Rais ili uweze kuwa Hitman kwakwe au dhumuni kutuonesha nini hapo??
Ndio maana akauliza ni mtoto kweli wa dada?? Mbona kuna top officer wakubwa zaid ya hawa aseeeee... Msichangie maada kwa mihemuko ya chama au kwa kufuata huyu kasema hivi... Ungekuwa ni wewe je ungefanya nini.. na mengine ni system tu ndio inaamua kuwa hivyo.. Bsi tuseme hata Upinzani hasa wa...
mhhhhh yaa kiukweli nimekuwa disapointed sana na ujumbe wako huu. Sasa unataka nan akafanye hivyo. Uzalendo unahitajika ngugu. Fact kama zako ndio zinaonyesha kias gan elimu yako wewe n ndogo na haupo kwa ajili ya kutetea nchi bali kupinga kila kitu kinachoelezwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.