Recent content by mkankuleyp

  1. M

    JamiiForums KERO Mfumo wa ESS unasumbua sana

    Kuna changamoto uki tick with recategorization hivo vyeo havifunguki hapo changamoto n nn ndg zangu
  2. M

    JamiiForums Mchakato wa kubadilishiwa kada hufanyika baada ya muda gani?

    Kama unamaanisha recategorization. Hubadilishwa kupitia bajeti ya mishahara . Ukipeleka vyeti vyako kwa hr anatakiwa mwaka unaofuata akuweke kwenye bajeti ya recategorization na hiyo bajeti ikishapitishwa basi unabadilishwa kada
  3. M

    JamiiForums KERO Kwenye mfumo wa kuomba uhamisho naambiwa “Vacancy Not Budgeted”, maana yake nini? Nahitaji kuhama kutokana na matatizo ya kiafya na kifamilia

    Ukiambiwa hivo maana yake hiyo taasisi idadi ya staff imetimia haitakiwi kuzid waliopo.
Back
Top Bottom