-Ukiangalia walioanzisha maandamano siyo wananchi ni wanajeshi wamevaa kiraia wakawa wanawaita wananchi.
-Wewe angalia kabla ya maandamano hata hayajaanza tayari magari yao yapo. Ktk hali yoyote hawamtii huyo jamaa akienda against nao. Utii hua siyo kwa vile una cheo tu watu wakutii, hapo...
Ni kweli kabisa mkuu, jamaa hajui kitu ila anabisha na tunaamini anabisha ili ajifunze. Maana haelewi kabisa basics ya inavyofanya kazi na ndiyo maana hawezi kuoanisha kodi na manunuzi. Sababu yuko hard coded na definition za darasani. Wewe endelea naye taratibu kumpa somo ataelewa tu.
Nilitaka nikuache, ila kwa vile nimegundua wewe ni mwanafunzi ngoja nikupe notice usome zaidi za real life nasiyo za kufikirika darasani. Biashara ya Forex hadi sasa :
The foreign exchange (forex or FX) market is the global marketplace where currencies are bought and sold. It’s the largest and...
Huo uzi ulioniwekea umejaa uongo mtupu . Naona unajaribu kujifunza uchumi ngoja nikupe kidogo ninyoshee mambo kabla ya kuja kwenye uzi huu, wenda una nia ya ya kujifunza.
Kwanza ujue hizi terms 1. interbank market 2. market makers 3. forex market.
Ulichoongelea kule ni Forex market ila hujui...
Kuna watu SI unit yao ni Magufuli, badala ya ku deal na tatizo liliopo basi inakuwa Magufuli naye alifanya hivi , alifanya vile. Huyu jamaa hajui hata hii jamiiforums mwanzo ilikuwa jamboforums wakati wa Kikwete ikapigwa pini wakabadili jina kuja jamii.
Ila gazeti likaandikwa mwaka 1990 unaona kuna correlation yoyote? soma kichwa cha habari na gazeti lenyewe ndo ujue hiyo ni habari ya kutunga na imetungwa 2021 baada ya kufariki ili kuwa brainwash watu wasihoji.
Degree ya kwanza kamaliza mwaka 1988 na masters kaanza 1991(kwa mjibu wako) ila...
Wewe husomi hata kichwa cha habari kuwa ni gazeti la mwaka 1990 ndo liiandika hayo?
Mwaka 1990 haikuwepo SADC na pia mwandiko huo ulioandikwa ni wa computer mwaka 2021 siyo zile machine a kutype za wakati ule za kubonyeza, angalia neno la gonjwa limelazwa kabisa ki computer.
Hiki ni kijalinda cha kizushi kilitengenezwa baada ya Magufuli kufa ili ku brainwash watu na hii ni moja ya mambo yanayoonyesha kweli walimuua.
- Maandishi haya ni ya computer na siyo ya machine zile za kutype.
-Pili ukiangalia kushoto kuna maneno kama SADC . SADC haikuwepo mwaka 1990, kwa...
Hiki kitangazo kiliandikwa baada ya Magufuli kufariki ni ki jalida cha ki mkakati zaidi kiliandaliwa ku brainwash watu.
Kama unataka kugundua hili tangazo limeandikwa kwa kutumia computer na wakati huo mwaka 1990 tulikua hatutumii computer kuandika. Zile machine za kutype wakati ule zilikua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.