Habarini wana JF
Naomba mnisaidie jinsi ya kuandika resume kwaajili ya kuombea kazi
Hata kama kuna mtu ana sample anaomba anitumie
Maana sielewi tofaut ya resume na CV na inahitajika resume
Msaada wenu please!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.