Recent content by Mkaladi

  1. M

    Wanaume siku hizi wana Vitambi na Kitandani hawafanyi kitu

    Kama mme wako hana kitambi je uljulia wapi wanaume wenye vitambi hawawezi 6kwa 6 inaonekana wewe nimsalti kwenye ndoa yako.
  2. M

    Mimba haishiki tena

    Endelea kuomba mungu atakfanyia wepesi inshaalah
  3. M

    Mimba haishiki tena

    Pole sana dada yangu endelea kumuomba mumgu ipo cku mambo yatakaa sawa na mjitahidi kuona docta kwa pamoja ww na mmeo mnaweza mkapata ushauri zaidi.
  4. M

    Wadada wengi mjini wana pesa, maisha mazuri, magari, wamesoma lakini hawaolewi

    Mwanamke akisoma na akawa napesa asilimia kubwa wanakuwa na kiburi.
Back
Top Bottom