Udereva ni kitendo cha mtu kuendesha chombo cha moto kwa ajili ya kusafiri au kusafirisha watu au mizigo mbalimbali ya watu kutoka sehemu moja hadi sehemu nyingine. Mtu ambaye huendesha chombo cha moto kama vile pikipiki, gari na bajaji huitwa dereva. Kwa kawaida dereva ni mtu ambaye anaongoza...
Ni mtazamo tu lakini Siri ya mafanikio yake analijua yeye mwenyewe. Inaweza kuwa njia sahihi ya upambanaji au njia zisizo za halali, hatuwezi jua pengine alipata Mali za urithi, akauza akanunua hizi pikipiki
Kaka huyu amanielimisha pakubwa Sana, kwa SABABU amanifanya nitumie Kila chance inayojitokeza katika jamii hata Kama watu wakiidharau, Kama vile bodaboda na uandishi wa Insha na stories Kama hivi pia natumia Kama chance coz NAAMINI siku moja nitafanikiwa
Utajiri: Ni Hali ya MTU au watu kujitosheleza Katika nyanja tofautitofauti za kiuchumi. Utajiri unaweza kuhusisha vitu Kama vile mifugo, mashamba, mali au pesa. MTU huitwa tajiri kwa kumiliki vitu Kama vile mashamba makubwa yanayompatia faida, maduka makubwa, magari, majumba,migodi na vitu...
Sisi Kama WATANZANIA au wanadamu Kila mmoja anashughuli ambayo anaifanya ili kumuingizia kipato Cha Kila siku ambacho kitamsaidia kukidhi mahitaji yake binafsi na familia yake kwa ujumla. Na Kama siyo hivyo basi ipo shughuli ambayo Kila mmoja wetu anaamini akishiriki kikamilifu katika shughuli...
Katika maisha yetu ya Kila siku Kila mtu anatamani awe na mafanikio katika Nyanja moja ama nyingine.kiuhalisia mafanikio ni ndoto ya Kila binadamu mwenye akili timamu. Mafanikio hayo yanaweza kuwa ya kielimu, kiuchumi, kisiasa, kiimani, kiafya na kimichezo. Ni jambo lisilopingika kwamba...
Kilimo: Ni kitendo Cha ukuzaji wa mimea na ufugaji wa wanyama kwa ajili ya chakula na biashara. Ni jambo lisilopingika kwamba Kilimo ni UTI wa mgongo wa nchi yetu ya TANZANIA japo kuwa asilimia kubwa ya Watanzania hatunufaiki ipasavyo kufikia hatua hii ya kusema kwamba Kilimo ndio UTI wa mgongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.