Recent content by mkai msangi

  1. mkai msangi

    MSAADA WAKUU.

    Wadau naombeni msaada kuja jamaa kachaguliwa Udom first selection hadi sasa hajaona admission letter sasa naweza kupata maelekezo namna ya kuzipata na kwenye mfumo wake hawajaiweka.tafadhilini naomba kueleweshwa
  2. mkai msangi

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Wapendwa samahanini naitaji kulipa ada udom ila kwenye taarufa zangu sioni akaunti namba msaada tafadhali
  3. mkai msangi

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Asante kiongozi umetusaidia wengi mimi mwenywe nipo KARATU nategemea kulipa soon.mbona umelipa direct cost 185000 kulikoni
  4. mkai msangi

    Taarifa ya muhimu kwa waliochaguliwa UDOM

    Sasa wale was approve toka tcu hadi lini
  5. mkai msangi

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Wazee wale tuliochaguliwa ila multiple vip bado 2 majina hayajurudi toka TCU
  6. mkai msangi

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Ndio nimeingiza ile ya form four na password ni Surname yangu kwa herufi kubwa kama walivyosema
  7. mkai msangi

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Mm yangu imefunguka ila kuingia sasa hiyo Alis ndo ishu msaada wapendwa
  8. mkai msangi

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Nime confirm kwa kutumia simu yaani online kupitia akaunti yangu na pia nilituma SMS
  9. mkai msangi

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Nikiingia alis inaniambia incorrect password
  10. mkai msangi

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Wapendwa nashindwa kupata join Udom nilichaguliwa third 3 round but multiple na tayari nimeconform ila ninkiingia Alis.udom inaniambia incorrect password nifanyaje msaada plz
  11. mkai msangi

    UDOM 3 round wameachia.

    Wakuu nimefanikiwa ila nipo multiple na nishathibitish kinachofata ni kupata join nifanyaje?
  12. mkai msangi

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Mm pia nimechaguliwa udom third round ila multiple but nimeshaconfom nafanyaje kupata join
  13. mkai msangi

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Hivi nikisha confirm kinachofuata joinstruction naipataje?
  14. mkai msangi

    UDOM 3 round wameachia.

    Naona udom wameachia ila napata tabu kufungua plz mwenye link anitumie tofauti na yao.
Back
Top Bottom