Recent content by Mjukuu wa taifa

  1. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Samahani sio wewe ni ndugu Zafrain sag na Mijadala Migumu na haikua tarehe 17 walisema kozi tarehe 7 mwez wa 10 ila mpaka Sasa hapo ndani ni bilabila... Lakini cha kukujibu wewe hamna kozi mwezi huu kwani bado watu wanaingia na Usahili unafanyika
  2. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Unawaambia kozi inaanza na bado unauliza yaliyojiri? Haupo serious
  3. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Piga kofi la macho aamke maana anausingizi huyo,,, hakuna kozi mwezi wa 10
  4. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Usisimulie usichokishuhudia ona sasa unavyo bwabwaja kama una kiazi Cha moto mdomoni,,,,,, unfit hawajasomwa sababu wote usahili wa vipimo haujakamilika na unapoambiwa usahili unaendelea sio huo tu ikiingia pale unahakikia details zako kwanza sasa ndugu yetu kiongozi unawapa vijana moto kweli.
  5. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kijana anatafuta attention kwa nguvu kwamba vipimo amewafanyia yeye itakua hivyo au mawazo yake wata bypass¿
  6. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Aiseeee kijana unatumia kilevi gani?? Mwanzo ulidai kozi ni tarehe 7 nikakukanusha saivi unakuja na nyingine ya tarehe 28 huu ufuska unautoa wapi¿¿¿
  7. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Aya kawakilishe wenzako vyema
  8. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Una staafu umechoka tatizo😄
  9. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Nakumbuka mwaka Jana hata hawa wanaotoa ronja awamu hii walikua wamekomalia bogi oljoro mwez wa nane ikaja mwenz wa 11.... Kumbe watu wapo msata hicho kipindi wanaenda wiki ya nne mkesha oct mwishoni wakaapa Ndio kilichopo hapa sasa bogi mwez wa 11 wataitwa na Bms aya bhana wajuzi wa mambo...
  10. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Oljoro mtaitwa Jakata au sio? Aya bhn endeleeni kujifariji msitegemee Bms wakaita mtu elfu moja
  11. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Komaa tu mzee huwezi jua ulipopangiwa usichoke kuomba ila haya Mambo ya majeshi ni ya wanajeshi wenyewe asee bila mbuyu kutoboa ni ngumu wanangu waliokua wanategemea bahati wameliwa vichwa ila wale wa maelekezo wote wapo kwenye pdf lao
  12. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Watu wamaelekezo tayari wapo kwenye hilo Pdf mkuu... Cha kuomba wewe ni huko CCP watu wanaingia waripoti wachache ama uende mbali sana uvae roho ya mnyama wapungue kwenye vipimo vya huko ndani ila mbali na hapo subili baada ya mwezi na wiki kadhaa wapo watakao tema bungo watachukua jazia nyama...
  13. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Usiwe unaleta vitu usivyokuwa na uhakika navyo watu wengi sana hata usahili wa vipimo haujakamilika na bado watu wanaingia... Kozi mwezi wa 10 tareh 7 umeitoa wapi wewe na mwenzako huko makutupora vipimo vya damu umewafanyia wewe au wote uta wa bypass??... Acha kuharakisha mambo kijana vitu...
  14. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    😂😂😂 ma sidiengaaa wamesema
  15. Mjukuu wa taifa

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Nashangaa walioaga kwenda huko makutupora na Msata bado wana zurura tu humu JF wanazungusha vyupi. Au mlikua mnajifariji, kwa jitungia maswali kisha mnajisahihisha wenyewe.😎🤏
Back
Top Bottom