Recent content by Mjuba og

  1. Mjuba og

    OCD wa Dodoma na OCCID wafunga Kanisa la AGGCI Kizota Dodoma

    Katika Hali isiyokuwa ya kawaida, Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Dodoma Mjini na Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya Jumapili tarehe 1 September 2024 walimbatana na wananchi waliovamia Kanisa la AGGCI Kizota kinyume cha Sheria wakati Ibada ikiendelea na kufunga Kanisa Hilo ambalo kwa sasa lipo chini ya...
  2. Mjuba og

    Tangu kufariki Askofu Kulola, Kanisa la EAGT uongozi wake wa juu umeshindwa kuliunganisha kanisa bali kusababisha matabaka

    Na kiongozi wa juu wa hilo kanisa kwa sasa amekuwa anatumia sana hela kujiimarisha madarakani na umafia juu dhidi ya wapinzani wake, kanisani kwake kafukuza karibia robo ya waumini anasema ni wachawi
  3. Mjuba og

    Tangu kufariki Askofu Kulola, Kanisa la EAGT uongozi wake wa juu umeshindwa kuliunganisha kanisa bali kusababisha matabaka

    Tangu alipofariki aliyekuwa muasisi wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania, Dr. Moses Kulola, uongozi uliopewa dhamana kuliongoza kanisa hilo umeshindwa kuliunganisha kanisa hilo badala yake wamekuwa ni viongozi wanaolisambaratisha kanisa kwa mpasuko, matabaka, ukabila na kwa...
Back
Top Bottom