Jamani Mimi naomba msaada wa mawazo naona ka nimerogwa hivi Kuna Binti nilikuwa na mazoea nae vibaya sana sema sio ya kimapenzi.......muda ulisonga weeeh actually mwisho wa siku tukajikuta tu imooo tunapendana kupita kiasi. Mimi kutokana na harakati za maisha sikutaka sana mazoea yazidi kwaiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.