Hakuna kifo kinachofurahisha, ila mbaya zaidi, waliomua ni wale waliokuwa wapo nae Kila siku. Inauma sana, kuwa kwenye chama Cha kiuuaji kabisa. Inauma sana
1. Nani aliyeshuhudia ndugu yenu kuwa alipanda gari la kwenda Tanga?
2. Nani alishuhudia alishushwa ndani ya basi hilo Kibo complex?
3. Nani alishuhudia bus lenye namba za usajili zilizotajwa kuwa ndilo bus alilopanda?
4. Nani aliyegundua waliokuja kumteka ni Usalama wa Taifa au Polisi?
5...
Haiwezekani katibu wa CHADEMA atangaze Leo mtu kapotea kesho yake apatikane amefariki.
Kuna kitu kinaendelea ndani ya CHADEMA si bure.
Nashauru serikali ikichunguze hiki chama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.