Recent content by Mjasiliamali40

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nina Guest House iliyopo maeneo ya Manzese, natafuta mtu wa kuingia naye ubia kuiendeleza

    Nina Guest House iliyopo maeneo ya Manzese, kwenye barabara ya kuelekea Tandale. Guest House ipo moja kwa moja barabarani, na ninatafuta mtu wa kuingia naye ubia ili tuweze kuiboresha na kuipanua, ikiwa ni pamoja na uwezekano wa kujenga hoteli. Manzese ni eneo lenye wakazi wengi...
Back
Top Bottom