Recent content by mj909

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jamani naombeni ufafanuzi kwa ambaye anafahamu hili

    Mimi Kila nikifanya mapenzi na mke wangu tukimaliza baada ya siku Moja anatokwa na chunusi usoni kipele kimoja au viwili hivi hili imekaaje wataalam wa Afya?
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda sana (na bado nampenda) ila kanipiga tukio ambalo najiuliza nimsamehe?

    Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na bado na mpenda Sana ila nimekuja kuomba ushari hapa. Ipo hivi huyu mwanamke nilikua namhudumia kila kitu ila ikafika mahali akaanza kunijibu dharau na kuniambia hataki mahusiano na mwanaume yoyote "labda atokee mwenye pesa nyingi ambae hata nikimuomba...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hii imekaaje?

    Ishu sio kipimo tatizo ni dalili kwenye mwili wake
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hii imekaaje?

    Unazungumzia kwamba zinaendelea kwenye kipimo... Je na dalili anazoziona?
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hii imekaaje?

    Kama kuna Mtaalam wa Afya anisaidie hivi kwamfano mtu akipima na akakuta anamimba halafu baada ya siku ya hedhi akatokwa na damu kwa siku moja tu kisha akaenda hospital kuangalia. Akaambiwa ujauzito umetoka japo akipima kipimo cha mkojo kinaonyesha ana mimba ila ultrasound inasema mimba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba kujua hili

    Hivi kipimo cha ultrasound kinaweza kusema incomplete abortion nakikawa kimedanganya? Kwamba mimba imetoka ila ikawa bado ipo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ultrasound inaweza kusema mimba imetoka na ikawa imedanganya?

    Hivi ultrasound inaweza kusema mimba imetoka na ikawa imedanganya?
  8. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA WAKUU

    Tumeenda hospital tumeambiwa mimba imetoka
  9. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA WAKUU

    Shida ameshaona siku zake Mkuu sioni haja ya kupima
  10. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA WAKUU

    Hatari sana inawezekana amekunywa maana leo kaona siku zake
  11. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA WAKUU

    Samahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi kikaonyesha kwamba anayo... Sasa chakushangaza tarehe ya hedhi ilikua jana damu haikutoka tukajua...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aisee kuna mtu nambembeleza huku chakula hakipiti

    Hakuna uongo wowote hayo ni matukio ya kweli ukitaka ushahidi upo
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aisee kuna mtu nambembeleza huku chakula hakipiti

    Misala tofauti
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aisee kuna mtu nambembeleza huku chakula hakipiti

    Kweli kabisa alishaambiwaga na jamaa flani hivi akamtukana juzi juzi tu akaona jamaa kama anamuonea wivu
Back
Top Bottom