Elimutube ni jukwaa ambalo utapata fursa ya kusoma kupitia notes na videos kutoka kwa walimu mahiri, wanaoaminika, na wenye uzoefu mkubwa Tanzania kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha sita.
Kutana na walimu mahiri kama Sir Kiteddy (Adv. Maths), Eng. Challange (Adv. Physics), Mr. Sabu (Adv...